Barabara ya Mzunguko ya Dodoma kuitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina

Katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika utekelezaji wa miradi hiyo na katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini Tanzania, Rais Dkt. Samia ameridhia pendekezo la Wizara ya Ujenzi la kuipa jina barabara hiyo ya mzunguko wa nje wa Dodoma la “Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina.

” Akiwa nchini, Dkt. Adesina alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Sayansi (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutokana na mchango wake mkubwa kwa maendeleo ya Bara la Afrika kupitia sera za fedha na programu bunifu za maendeleo.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *