Katika hotuba yake yenye msisitizo mkubwa wa maendeleo na uwajibikaji, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwa kina jinsi gawio kutoka kwenye mashirika ya umma linavyokwenda kupunguza utegemezi wa bajeti kutoka kwa wahisani na kuimarisha uchumi wa ndani.
Tazama ujumbe huu muhimu unaogusa dhana ya kujitegemea kama taifa, usimamizi wa rasilimali, na mageuzi ya kiuchumi chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
🔔 Usisahau kusubscribe ili kufuatilia taarifa zote za maendeleo nchini.
#Gawio #RaisSamia #UchumiImara #MatokeoChanya #TanzaniaYaSasa #KaziIendelee #SamiaSuluhuHassan
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+