Katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika tarehe 3 Juni 2025 jijini Dodoma, Profesa Palamagamba Kabudi alitoa ujumbe mzito kuhusu umuhimu wa miti katika uzuri, ustawi na afya ya miji yetu.
Katika hotuba yake, alisisitiza kuwa maendeleo ya miji hayawezi kupimwa kwa kuwepo kwa taa tu, bali yanahitaji uwepo wa miti kwa ajili ya hewa safi, kivuli, kupunguza joto na kuimarisha muonekano wa miji yetu.
🌱 Tukio hili limehamasisha Watanzania kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira na upandaji wa miti kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
🔔 Subscribe kwa matukio zaidi ya kijamii, kimazingira na kitaifa. 📌 #SikuYaMazingira2025 #ProfKabudi #Dodoma #MazingiraBora #GreenTanzania
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+