🛶 Tazama mandhari ya kuvutia ya fukwe, visiwa, na shughuli za kijamii zinazolifanya Ziwa Victoria kuwa moyo wa Mwanza na Tanzania nzima.
👉 Je, nawe unaliona Ziwa Victoria kama utambulisho wa Taifa?
Tuambie maoni yako kwenye comment!
#ZiwaVictoria #Mwanza #UrithiWaTanzania #FahariYaMwanza #ZiwaLetuSautiYetU #TanzaniaYangu
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+