Maktaba ya Mwezi: May 2025

USIPOTEZE HAKI YAKO, WAHI KAHAKIKI TAARIFA ZAKO – RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma …

Soma zaidi »

“KILA MTANZANIA AJITOKEZE ATUMIE FURSA YA KUJIANDIKISHA” – MHE. DKT. SAMIA

“Kama nilivyosema, la kwanza kutokujitokeza kuandikisha ni kukataa mwenyewe haki yako ya kikatiba. Na unapokataa haki ya kikatiba suala unajiuiza je, wewe ni mzalendo?, ni mzalendo wa aina gani ambae katiba imekupa fursa hii, nenda kaandikishe, piga kura, weka kiongozi anayehisi atakuja kukuhudumia wewe unaikataa. Ukiikataa wenzio watakwenda kuweka wanayemtaka …

Soma zaidi »

WALIMSEMA HATAWEZA, SASA MIRADI INAZUNGUMZA! – Hamisi Abdala

Songea, Ruvuma – Katika mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wa elimu ya kisheria na uwajibikaji kwa viongozi wa serikali za mitaa, mwanaharakati na mkazi mashuhuri wa Songea, Hamisi Abdala, ametoa kauli yenye uzito kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao

Soma zaidi »

LIVE: SEMINA KUBWA SONGEA, WAJUMBE 800+ WA KAMATI ZA SIASA

Zaidi ya wajumbe 800 wa kamati za siasa, viongozi wa serikali za mitaa, wilaya na mashirika mbalimbali wameungana kwenye semina maalum iliyoandaliwa na MSLAC kwa ajili ya kutoa elimu juu ya maendeleo ya jamii, usalama wa jamii, uongozi bora na ushirikishwaji wa wananchi. Semina hii inalenga kuhamasisha mabadiliko chanya kwenye …

Soma zaidi »