#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 15, 2025
Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto Biteko Mei 15, 2025 ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo
LIVE: SEMINA KUBWA SONGEA, WAJUMBE 800+ WA KAMATI ZA SIASA
Zaidi ya wajumbe 800 wa kamati za siasa, viongozi wa serikali za mitaa, wilaya na mashirika mbalimbali wameungana kwenye semina maalum iliyoandaliwa na MSLAC kwa ajili ya kutoa elimu juu ya maendeleo ya jamii, usalama wa jamii, uongozi bora na ushirikishwaji wa wananchi. Semina hii inalenga kuhamasisha mabadiliko chanya kwenye …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+