Sekta ya utalii nchini Tanzania imefikia na hata kuvuka malengo yaliyowekwa kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024, hatua inayodhihirisha mafanikio makubwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupitia juhudi za kimkakati, ikiwemo uzinduzi wa filamu ya Royal Tour, uwekezaji katika miundombinu ya kitalii, na kampeni …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 20, 2025
Tanzania Yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Utalii (2021-2024)
Tanzania imefanikiwa kupiga hatua kubwa katika sekta ya utalii kati ya mwaka 2021 na 2024, ikiweka rekodi za kipekee katika ukuaji wa utalii wa ndani na kimataifa. Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii, utalii wa ndani umeongezeka kwa asilimia 307.9%, huku utalii wa kimataifa ukiongezeka kwa …
Soma zaidi »UKUAJI KATIKA SEKTA YA UTALII
Tanzania imefanikiwa kufanikisha ukuaji mkubwa katika sekta ya utalii wa ndani kati ya mwaka 2021 na 2024, ikivunja rekodi za awali. Mafanikio haya yanatokana na juhudi thabiti na uongozi makini wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha utalii wa ndani kupitia kampeni mbalimbali …
Soma zaidi »MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.
MASWALI NA MAJIBU KATI YA WAANDISHI WA HABARI NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Tazama kwa kina Maswali na Majibu kati ya Waandishi wa Habari na Waziri wa Katiba na Sheria – tukio la moja kwa moja linalogusa masuala nyeti ya haki, sheria, usuluhishi wa migogoro, na utekelezaji wa haki kwa wananchi. Fahamu msimamo wa serikali juu ya maboresho ya mfumo wa sheria nchini. …
Soma zaidi »MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.
Mkutano maalum kati ya Waziri wa Katiba na Sheria na Waandishi wa Habari umefanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kujibu hoja, kuelimisha umma na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika maboresho ya sheria na upatikanaji wa haki kwa wananchi. Usikose kufuatilia majibu ya Waziri kuhusu masuala ya usuluhishi (ADR), msaada wa …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONYA WANAHAKATAI WANAOCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI KUINGIA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza ushiriki wa taasisi za umma, sekta binafsi, pamoja na watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) katika kufanikisha utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Toleo la 2024, kwa kuihusisha katika mipango yao ya maendeleo, diplomasia …
Soma zaidi »UBORESHAJI UNAENDELEA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
UBORESHAJI UNAENDELEA KASKAZINI UNGUJA
Ni yapi madhara ya utumiaji mirungi kwa wanaonyonyesha?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+