Hayo yamesemwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Lifezone Metals inayomiliki kampuni ya Tembo Nickel Corporation Limited
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: May 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Mkoani Iringa ambapo anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) yanayofanyika leo tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Chuo hicho
RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MAZISHI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS NA WAZIRI MKUU MSTAAFU HAYATI MSUYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa serikali, wananchi na familia katika mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati John Malecela Msuya. Katika video hii, utaona: 🕊️ Heshima za mwisho kwa kiongozi mashuhuri wa taifa …
Soma zaidi »Rais Dkt. Samia Suluhu aongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025
MAJIMBO YA UCHAGUZI YALIYOBADILISHWA MAJINA
MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI YALIYOANZISHWA 2025
MSLAC YAGUSA NGUZO ZA JAMII SONGEA-ELIMU YA KISHERIA KWA VIONGOZI NA VIJANA 1200
LIVE kutoka Songea, Ruvuma, ambako Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa, wajumbe wa mashina, vijana, na wananchi wa kawaida. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wanapata maarifa kuhusu: Haki za kiraia na kijamii Mbinu mbadala za utatuzi …
Soma zaidi »MSLAC YAGUSA NGUZO ZA JAMII SONGEA-ELIMU YA KISHERIA KWA VIONGOZI NA VIJANA 1200
LIVE kutoka Songea, Ruvuma, ambako Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa, wajumbe wa mashina, vijana, na wananchi wa kawaida. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wanapata maarifa kuhusu: Haki za kiraia na kijamii Mbinu mbadala za utatuzi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+