Maktaba ya Mwezi: May 2025
TANZANIA YETU, FAHARI YETU
Rais Samia Suluhu Hassan akishirika Ibada ya kumuaga Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam
VIONGOZI WATOA MAONI YAO BAADA YA SEMINA YA MSLAC
SERIKALI YAZIDI KUWAGUSA WANANCHI, KWA UZINDUZI WA MIRADI NA USAMBAZAJI ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA
Katika safari ya kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na haki kwa wote, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria chini ya Waziri Dkt. Damas Ndumbaro, yazindua miradi ya maji safi na salama pamoja na kusambaza elimu ya msaada wa kisheria …
Soma zaidi »SONGEA YALIPUKA KWA MAENDELEO – MIRADI MIKUBWA YAANIKA MATOKEO, WANANCHI WAANZA KUVUNA MAFANIKIO
Katika video hii, tunakupeleka moja kwa moja mkoani Ruvuma, wilaya ya Songea – ambako miradi mikubwa ya maendeleo chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, ikisimamiwa kwa karibu na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, imeleta mageuzi ya kweli katika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+