Karibu kwenye Tanga Women Gala– jukwaa la mafanikio, ubunifu na mshikamano wa wanawake wa Tanga na Tanzania! Hafla hii ya kipekee iliyoandaliwa na Stara Tanzania inalenga kuwainua wanawake kupitia elimu ya ujasiriamali, mafunzo ya uongozi, na mitandao ya kijamii na biashara. #chadema TangaWomenGala #WanawakeViongozi #StaraTanzania #Ujasiriamali #UbunifuWaKitanzania
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+