“Kama nilivyosema, la kwanza kutokujitokeza kuandikisha ni kukataa mwenyewe haki yako ya kikatiba. Na unapokataa haki ya kikatiba suala unajiuiza je, wewe ni mzalendo?, ni mzalendo wa aina gani ambae katiba imekupa fursa hii, nenda kaandikishe, piga kura, weka kiongozi anayehisi atakuja kukuhudumia wewe unaikataa. Ukiikataa wenzio watakwenda kuweka wanayemtaka na unakosa fursa ya kushawishi wengine kuweka yule mnayemtaka. Kwa hiyo unakuwa wewe wa kubabaisha tu na wa kulalamika,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#RaisSamia #KuraYakoSautiYako #Jiandikishe2025 #DaftariLaWapigaKura #Uchaguzi2025 #HakiYaKura #SamiaSuluhu #MzalendoWaKweli #TanzaniaYaLeo #ChaguaKwaUzalendo
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+