“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu.
Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma nilikuwa napiga Zanzibar kwa sababu nilikuwa Makamu wa Rais, nilikuwa naenda kupiga kule na Rais wa Jamhuri napiga hapa Dodoma. Lakini Mwaka huu inabii nipige hapa makao makuu ya nchi, ambapo ndiyo makao ya serikali yalipo,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#mslac #katibanasheria #chadema #ijuesheria #section4wakilitv #sisinitanzania #nchiyangukwanza #ikulumawasiliano
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+