Maktaba ya Mwezi: May 2025

WATU MKO KIMYA HAMSEMI …! , – HAMIS ABDALA

“Mnasemaje nchi haina maendeleo, mmekaa kimya, hamsemi kwanini!” ni ujumbe mzito kutoka kwa Hamis Abdala, Mtanzania anayetoa changamoto kwa jamii na kuibua mjadala kuhusu uzalendo, uwajibikaji wa raia, na kutambua jitihada za maendeleo nchini. Katika video hii, tunatafakari kwa kina: Ni maendeleo gani yamefanyika nchini Tanzania? Kwa nini baadhi ya …

Soma zaidi »

USIPOTEZE HAKI YAKO, WAHI KAHAKIKI TAARIFA ZAKO, RAIS DKT. SAMIA

“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma …

Soma zaidi »

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, Chamwin

Tarehe 17 Mei, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino, iliyopo Kata na Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma. Afisa Mwandikishaji wa majimbo ya Chamwino na …

Soma zaidi »