WANANCHI, WAMESHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MSANGANI – KIBAHA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT SAMIA

SIO NDOTO TENA!!!

WANANCHI, WALIMU WAMESHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MSANGANI – KIBAHA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT SAMIA

🟢WANANCHI WASHIRIKI KUSAFISHA MAZINGIRA KABLA NA BAADA YA UJENZI!

🟢NDANI YA MIEZI MITATU UJENZI UKAKAMILIKA!

🟢KIASI CHA TSH MILIONI 508 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI RAIS DKT SAMIA, ZIMETUMIKA!

🟢WALIMU WAAHIDI SHULE HII KUIFANYA IWE BORA KIELIMU KAMA SEMINARI

🟢WANAFUNZI 138 SASA WAANZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2025!

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *