Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma iliyotolewa na Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Chama hicho yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) leo tarehe 20 Januari 2025

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *