Jimbo la Nyamagana limepokea zaidi ya Shilingi bilioni 40 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami

Uwekezaji huu umewezesha kuboresha hali ya usafiri na kufanya maeneo mengi kupitika kwa urahisi, hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa jimbo hilo.

Fedha hizi zimeelekezwa katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara mpya na ukarabati wa zile zilizopo, zikiwemo barabara za mitaa na za kuunganisha sehemu muhimu za jimbo hilo. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *