๐ŸŸข LIVE: RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE – IKULU CHAMWINO, DODOMA | 28 JUNI 2025

Karibu ufuatilie tukio maalum la kuapishwa kwa viongozi wapya walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hii inafanyika katika viunga vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, leo tarehe 28 Juni, 2025.

Katika tukio hili, viongozi kutoka kada mbalimbali serikalini wanapokea rasmi majukumu yao, ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarisha utawala bora, uwajibikaji, na utekelezaji wa dira ya maendeleo ya taifa chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.

๐Ÿ”ท Tazama hadi mwisho kujua majina ya walioteuliwa na wito wa Rais kwao

๐Ÿ”ท Usisahau kusubscribe ili kupata taarifa za moja kwa moja kutoka Ikulu

#RaisSamia #IkuluChamwino #ViongoziWateule #Tanzania2025 #UteuziNaUapisho #SerikaliYaAwamuYaSita #ChanyATV

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *