MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SUNGUSUNGU CCM KIRUMBA MWANZA

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikutana na kuzungumza na Sungusungu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, leo tarehe 20 Juni, 2025

🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana!

#RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *