SWALA LA USIMAMIZI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA , NI KIPAUMBELE KATIKA MAENDELEO YA NCHI YETU.

“Kila mmoja wetu ana jukumu la kutunza mazingira — iwe ni kwa kupanda miti, kutupa taka sehemu sahihi, au kushiriki kampeni za kijani. Mazingira bora ni msingi wa maisha bora!” Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

🔔 Subscribe kwa maudhui mengine yanayolenga elimu, uhamasishaji na hatua za kulinda taifa letu kwa kuyalinda mazingira.

#UhifadhiWaMazingira #MazingiraKwanza #TanzaniaEndelelevu #MazingiraNiMaendeleo #KipaumbeleChaTaifa #GreenTanzania #AfyaYaMazingira

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *