Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi waliokusanyika kushuhudia hatua hii muhimu katika historia ya kisiasa ya Nchi.
Tazama tukio hili kwa ukaribu na ufurahie hisia, mshikamano, na ari ya ushindi inayopamba anga la kisiasa la Tanzania.
#DktSamia #CCM #Uchaguzi2025 #NEC #Tanzania
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+