Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhwan Jakaya Kikwete (Mb), ametoa hotuba muhimu, Agosti 27, 2025, Dar es Salaamu JengO la Nsssf ,Wakati wa ziara ya Mheshimiwa Gembá Koichiro, Makamu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Japan, na ujumbe wake

Hotuba hiyo ililenga kuimarisha uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kuwekeza katika maendeleo ya rasilimali watu, hasa vijana.

Mhe. Kikwete alieleza kuwa Tanzania imeendelea kuwa na ukuaji thabiti wa uchumi, lakini ili kufungua kikamilifu uwezo wake, ni lazima kuwa na kipaumbele katika maendeleo ya rasilimali watu. Alisema kuwa kuwekeza kwa vijana katika ujuzi, maarifa, na ustawi wao ni uwekezaji mkakati wa kwanza kwa mustakabali wa Tanzania.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *