Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo siyo Hadithi Tena

Kauli “Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo Siyo Hadithi Tena” ni mwito na ushahidi wa mabadiliko chanya yanayotokana na uwekezaji katika maarifa, miundombinu, teknolojia na ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi na wakulima. Nanenane si tukio la maonyesho tu – ni daraja kati ya mkulima wa jana na shujaa wa uchumi wa kesho.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *