KILIMO

MKAZI WA ARUSHA AACHANA NA DAWA ZA KULEVYA, AANZISHA SHAMBA LA MAZAO YA CHAKULA

Talik Azizi Mkawa, mkazi wa Arusha, ni mfano wa kuigwa baada ya kuamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kuanza ukurasa mpya wa maisha. Baada ya kupata nafuu, Talik amesema aliguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewahimiza vijana waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya kujikita …

Soma zaidi »

KUTOKA TANGA HADI SONGWE, KILIMO KINA BENKIKA 🇹🇿🌾

Safari hii tunachunguza namna kilimo kinavyobadilisha maisha ya Watanzania kutoka Tanga hadi Songwe. Tunazungumza na wakulima, wataalamu, na vijana wanaotumia ubunifu kukuza uchumi kupitia ardhi yao. 👉 Utajifunza: Mbinu bora za kilimo cha kisasa Jinsi kilimo kinavyowezekana kuwa biashara yenye faida Mifano halisi ya mafanikio kutoka mikoa tofauti Kilimo si …

Soma zaidi »

UNAJUA KINACHO ENDELEA BONDE LA MOMBO? ZAIDI YA HEKTA 200 ZINALIMWA MPUNGA

Mikopo Nafuu Yaleta Mapinduzi ya Kilimo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kuinua sekta ya kilimo nchini. Kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), wakulima wa Skimu ya Umwagiliaji Mombo wamepata fursa ya kupata mikopo …

Soma zaidi »

UKIONA FULSA CHANGAMKIA, SIKILIZA NA JIFUNZE KWA WATANZANIA WA KISHAPU FOOD WALIVYOWEZESHWA NA TADB

Katika video hii tunakupeleka Kishapu, ambako Watanzania wa Kishapu Food wamepata uwezeshaji mkubwa kupitia TADB (Tanzania Agricultural Development Bank). Utajifunza: ✅ Jinsi TADB inavyowawezesha vijana na wakulima kupata mikopo nafuu. ✅ Hatua zilizochukuliwa na Kishapu Food kufanikisha ndoto zao. ✅ Ushauri kwa vijana na wajasiriamali wa Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo …

Soma zaidi »

MIAKA 10 YA MAGEUZI NA MAFANIKIO MAKUBWA YA KILIMO TANZANIA

Kwa miaka kumi, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imekuwa nguzo ya mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo. Kupitia mikopo nafuu, uwezeshaji wa teknolojia za kisasa na ufadhili wa miradi ya kimkakati, TADB imewafikia mamilioni ya wakulima, kuongeza tija, kuboresha usalama wa chakula, na kuchochea uchumi wa taifa. Tazama …

Soma zaidi »

DCEA YATUMIA NANENANE KUTOA ELIMU KWA JAMII NA KUHAMASISHA KILIMO CHA MAZAO MBADALA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeshiriki katika Maonesho ya Nanenane kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na kuwahamasisha kushiriki katika shughuli halali za uzalishaji mali, hususan kilimo, ufugaji na uvuvi. Kamishina Jenerali wa DCEA, Aretas …

Soma zaidi »

KUNA JAMBO LA KUJIVUNIA TANZANIA UKIFIKA KATIKA MAONESHO YA KILIMO NANE NANE NZUGUNI DODOMA

Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi. #mazingira #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿 #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania

Soma zaidi »