Maktaba ya Mwezi: June 2025
USIMAMIZI WA TAHSISI UNAENDA KUWA KWA KIWANGO CHA JUU – RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa serikali yake imejipanga kuboresha usimamizi wa taasisi mbalimbali kwa kiwango cha juu zaidi ili kuhakikisha uwajibikaji, ufanisi na utoaji bora wa huduma kwa wananchi. Katika hotuba hii, Mhe. Rais Samia anaeleza hatua madhubuti zinazochukuliwa kuimarisha mifumo ya …
Soma zaidi »π »π Έπ π ΄ :π΄ . WAZIRI WA FEDHA MWIGULU NCHEMBA AKISOMA BAJETI KUU YA SERIKALI
ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I.DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »π »π Έπ π ΄ :π΄ . BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA, KIKAO CHA 45, 12 JUNI 2025
ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I.DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIPOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA KWA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Hafla ya Kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Tasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 10 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »π »π Έπ π ΄ :π΄ MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIPOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA KWA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Hafla ya Kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Tasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 10 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura
Walikuwa wakiteta kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar.
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka Ofisi ya Rais β TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana kikamilifu katika kukamilisha mradi wa ujenzi wa shule 56 za kuendeleza vipaji vya michezo.
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MSLAC KUENDELEA JUNI 16, 2025 β MAANDALIZI YA UZINDUZI MKOANI DAR ES SALAAM
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya MSLAC (Mainland Social Legal Aid Campaign) ni mpango maalum wa kitaifa unaolenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, hususan wale wa kipato cha chini, kupitia utoaji wa msaada wa kisheria bure, elimu ya haki za binadamu, na uhamasishaji juu ya mifumo ya sheria inayotumika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+