Maktaba ya Kila Siku: April 19, 2025

#uchaguzi2025 Maandalizi ya Amani yatazaa matunda ya Amani

Amani ni nguzo kuu katika uchaguzi mkuu wa 2025 nchini Tanzania. Bila amani, hakuna uchaguzi huru, haki, wala maendeleo ya demokrasia. Amani hutuliza jamii, huimarisha mshikamano, na kuruhusu wananchi kushiriki uchaguzi kwa utulivu, uhuru na matumaini ya kesho bora. #amaniNaUtulivu

Soma zaidi »