Tarehe 30 Aprili 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amewasili katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma na kuwasilisha rasmi Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hotuba yake, Dkt. Ndumbaro ameeleza vipaumbele vya wizara, mafanikio yaliyofikiwa, na mikakati ya kuboresha huduma za kisheria nchini ikiwa ni pamoja na utoaji wa haki kwa wote, uboreshaji wa sheria, na kuimarisha Mamlaka ya Mahakama.
π Tazama hotuba yote kujua mkakati wa Serikali katika kuimarisha misingi ya haki, katiba, na utawala bora.
π’ Usisahau kusubscribe, kupenda (like) na kushiriki video hii kwa ajili ya kuifikisha kwa Watanzania wote.
#Bajeti2025 #DktNdumbaro #WizaraYaKatibaNaSheria #Dodoma #BungeLive #TanzaniaYetu
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+