πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA TANO, 30 APRILI 2025

Leo tarehe 30/04/2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepokea Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Katika hotuba hii muhimu, Waziri wa Katiba na Sheria anawasilisha mipango, mafanikio, changamoto na makadirio ya bajeti kwa mwaka ujao wa fedha, kwa lengo la kuimarisha mfumo wa haki, utawala bora, na huduma za kisheria kwa wananchi wote.

#Bajeti2025 #WizaraYaKatibaNaSheria #BungeLive #Tanzania #UtawalaBora #HakiKwaWote

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *