SINGIDA YAMKARIBISHA KWA SHANGWE RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MEI MOSI 2025

Wameeleza furaha yao juu ya ujio wa Mhe Rais Samia kwenye maadhimisho hayo ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Singida.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni: “Uchaguzi Mkuu wa 2025 utuletee viongozi wanaojali na kuthamini haki na maslahi ya wafanyakazi, Sote tushiriki.”

#MeiMosi2025 #SingidaNaSamia #SamiaTheGameChanger

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *