MKOA WA SINGIDA

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA 2025 – SINGIDA | MGENI RASMI DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Kitaifa kwa mwaka 2025, yanayofanyika leo mkoani Singida. Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo atahutubia taifa na kuzungumza na wafanyakazi kutoka …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA APANDISHA MISHAHARA KWA ASILIMIA 35.1 – MEI MOSI 2025 SINGIDA

Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2025 yaliyofanyika Kitaifa mkoani Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira ya dhati ya kuwatumikia wafanyakazi wa kada mbalimbali, wakiwemo walimu, ambao ni mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa. Katika …

Soma zaidi »

πŸ”΄ RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA HOTUBA ILIYOBEBA TABASAMU KUBWA KWA WAFANYAKAZI | MEI MOSI 2025πŸ”₯

Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2025, yaliyofanyika Kitaifa mkoani Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba yenye msukumo, matumaini na dira mpya kwa wafanyakazi wa Tanzania. Katika hotuba hiyo, Mhe. Rais amepongeza mchango mkubwa wa wafanyakazi …

Soma zaidi »

πŸ”΄ HOTUBA YENYE MWELEKEO MPYA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA WAFANYAKAZI : MEI MOSI 2025, SINGIDA.

Karibu kwenye video hii ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anatoa hotuba ya kipekee yenye mwelekeo mpya kwa wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei Mosi 2025, yaliyofanyika Singida. Katika hotuba hii, Rais Samia anazungumzia malengo ya maendeleo, haki na faraja za wafanyakazi, pamoja na mipango ya serikali ya kuimarisha mazingira ya kazi …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa zawadi kwa wafanyakazi hodari katika sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025

Soma zaidi »

TALGWU SINGIDA YAPONGEZA UAMUZI WA RAIS SAMIA KUFANIKISHA MEI MOSI KITAIFA

Katibu wa mkoa wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) mkoa wa Singida, Deogratius Rugambwa, amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kufanyika kitaifa katika mkoa wa Singida. Ameeleza kuwa hatua hiyo ni ya kihistoria na inaongeza heshima …

Soma zaidi »