Maktaba ya Mwezi: April 2025

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii na ukatili wa kijiinsia ni la kila mmoja hivyo ameiasa Jamii kushirikiana katika kupambana na vitendo hivyo. Dkt. Jingu ameyasema hayo jijini Dodoma Aprili 23, 2025 wakati akiongoza kikao cha …

Soma zaidi »

ADA TADEA KUSIMAMISHA WAGOMBEA UDIWANI NA UBUNGE, NAFASI YA RAIS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Mkoa wa Songea, Alli Sadiki Mapunda, ametangaza kuwa chama chao kipo tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema kuwa ADA TADEA itasimamisha wagombea katika nafasi zote za udiwani na ubunge, …

Soma zaidi »