Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Januari 14, 2025 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe aliofuatana nao kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam
MatokeoChanya
January 14, 2025
CCM, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Waziri Mkuu
311 Imeonekana