Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati …
Soma zaidi »Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26 Juni 2025
#WorldDrugDay #DCEA
Soma zaidi »UZINDUZI WA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO – BUSISIA
Asante Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wana Mwanza Tunakusubiri #SamiaAnajengaNchiInafunguka
Soma zaidi »SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU – BARIADI YAZINDULIWA
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »DKT. AKINWUMI ADESINA ASAFIRI
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 aliyoifanya chini Tanzania kuanzia tarehe 12 hadi 15 Juni 2025, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Soma zaidi »JENGO LA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI BARIADI LAZINDULIWA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu afungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Miji Bariadi, Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »KIWANDA CHA UCHAKATAJI WA PAMBA – SIMIYU
Muonekano wa Kiwanja cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16/06/25 #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »JENGO LA TRA BARIADI LAZINDULIWA
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »RAIS SAMIA AFURAHIA MAENDELEO NA AMANI
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amefurahi kuona matunda ya hatua kubwa za maendeleo tunazopiga katika sekta mbalimbali, huku tukiendelea kubaki wamoja na wenye amani. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »UZINDUZI WA MSLAC DAR ES SALAAM
Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye ulemavu. #MamaSamiaLegalAid #KassimMajaliwa #MsaadaWaKisheria
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+