Demokrasia

TANZANIA YAINUA BAJETI YA KILIMO HADI TRILIONI 1.3 WAKATI DUNIA IKIKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA MAVUNO!

Sekta ya kilimo nchini Tanzania inaendelea kupewa kipaumbele na serikali kwa ajili ya kukuza uchumi na kuongeza ajira. Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka shilingi bilioni 294 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi shilingi trilioni 1.3 mwaka wa fedha 2024/2025, ikionyesha dhamira ya serikali katika kuimarisha sekta hii muhimu. Kwa …

Soma zaidi »

WANANCHI, WAMESHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MSANGANI – KIBAHA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT SAMIA

SIO NDOTO TENA!!! WANANCHI, WALIMU WAMESHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MSANGANI – KIBAHA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT SAMIA 🟢WANANCHI WASHIRIKI KUSAFISHA MAZINGIRA KABLA NA BAADA YA UJENZI! 🟢NDANI YA MIEZI MITATU UJENZI UKAKAMILIKA! 🟢KIASI CHA TSH MILIONI 508 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI RAIS DKT SAMIA, ZIMETUMIKA! 🟢WALIMU WAAHIDI SHULE HII …

Soma zaidi »

Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma iliyotolewa na Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Chama hicho yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa …

Soma zaidi »

Tanzania inaendelea kupaa kiuchumi, kijamii, na kisiasa, ikidhihirisha azma yake ya kufanikisha ndoto za maendeleo kwa ustawi wa taifa

Jitihada za makusudi kutoka kwa serikali, wadau wa maendeleo, na wananchi zimeimarisha msingi wa kujenga Tanzania yenye neema na mafanikio. Katika nyanja ya kiuchumi, miradi mikubwa ya kimkakati kama vile ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP), na bomba la mafuta la EACOP …

Soma zaidi »

Mwaka huu tumeshuhudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliokwenda kwa amani na utulivu. Kwa mara ya kwanza, wagombea wasiokuwa na wapinzani walihitajika kuthibitishwa na wananchi kwa kupigiwa kura ya “Ndio” au “Hapana.” Hatua hii imefuta rasmi utaratibu wa kupita bila kupingwa, na ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia nchini

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano

Soma zaidi »