Demokrasia

MASWALI NA MAJIBU KATI YA WAANDISHI WA HABARI NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

Tazama kwa kina Maswali na Majibu kati ya Waandishi wa Habari na Waziri wa Katiba na Sheria – tukio la moja kwa moja linalogusa masuala nyeti ya haki, sheria, usuluhishi wa migogoro, na utekelezaji wa haki kwa wananchi. Fahamu msimamo wa serikali juu ya maboresho ya mfumo wa sheria nchini. …

Soma zaidi »

MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.

Mkutano maalum kati ya Waziri wa Katiba na Sheria na Waandishi wa Habari umefanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kujibu hoja, kuelimisha umma na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika maboresho ya sheria na upatikanaji wa haki kwa wananchi. Usikose kufuatilia majibu ya Waziri kuhusu masuala ya usuluhishi (ADR), msaada wa …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AONYA WANAHAKATAI WANAOCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI KUINGIA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza ushiriki wa taasisi za umma, sekta binafsi, pamoja na watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) katika kufanikisha utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Toleo la 2024, kwa kuihusisha katika mipango yao ya maendeleo, diplomasia …

Soma zaidi »