MatokeoChanya

VIJANA NJOONI TUYAJENGE,TANZANIA NI YETU -SAME MASHARIKI

Kauli hii ni wito wa kizalendo unaolenga kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa. Ina ujumbe mzito wa uwajibikaji, umoja, na matumaini ya baadaye ya Tanzania. Maana yake kwa ufupi: “Vijana njooni” – Ni mwaliko na mwito kwa vijana wote wa Tanzania wajitokeze, wasibaki pembeni. “Tuyajenge” – Inasisitiza kushirikiana kwa vitendo katika …

Soma zaidi »

NINI KIFANYIKE VIZAZI VIJAVYO KUENDELEA KUFAHAMU MASWALA YA MUUNGANO?

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amesema Mpango wa Elimu kwa Umma Kuhusu Muungano utaendelea kutekelezwa kwa uwazi na ushirikiano mpana ili kuhakikisha elimu hiyo inawafikia Watanzania wote, hususan vijana. Akizungumza Desemba 19, 2025 katika kipindi cha Asubuhi Njema kinachorushwa na ZBC, Waziri …

Soma zaidi »

NA HUU NDIO MPANGO WA ELIMU KWA UMMA KUHUSU MUUNGANO.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Mpango wa Elimu kwa Umma Kuhusu Muungano utaendelea kuwa endelevu ili kuhakikisha elimu hiyo inawafikia wananchi wote, hususan vijana. Akizungumza Desemba 19, 2025 katika kipindi cha Asubuhi Njema kinachorushwa na ZBC, Mhe. Masauni amesema Waandishi wa …

Soma zaidi »

HOTUBA NZITO YA WAZIRI WA VIJANA MHE. JOEL NANAUKA KWA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA

Hotuba nzito na yenye maelekezo ya kina kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana – Mhe. Joel Nanauka, akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Vijana kuhusu wajibu wao katika kusimamia, kuhamasisha na kutekeleza ajenda ya maendeleo ya vijana nchini. Hotuba hii inasisitiza uwajibikaji, uzalendo, ubunifu na mshikamano katika kuhakikisha vijana wanapata …

Soma zaidi »

HOTUBA YA WAZIRI WA WIZARA YA VIJANA AKIFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA WA MIKOA

Karibu kwenye channel yetu! Katika video hii, tunakuletea hotuba ya Waziri wa Wizara ya Vijana akifungua kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya Vijana wa Mikoa, ambapo alisisitiza umuhimu wa vijana katika maendeleo ya taifa. Kikao hiki ni muhimu kwa ajili ya kujadiliana mikakati ya maendeleo ya vijana, kuboresha ajira, elimu, …

Soma zaidi »