Awamu ya Kwanza ya Mpango wa Msaada wa Kisheria kwa Wananchi (MSLAC) imefanikiwa kuwafikia zaidi ya Watanzania 3,734,157 kote nchini, ikiwa ni hatua kubwa katika kuhakikisha wananchi wanapata haki, elimu ya sheria, na msaada wa kisheria kwa wakati. Katika hatua nyingine, Waziri ametoa maelekezo mazito dhidi ya watu wanaotoa vyeti …
Soma zaidi »MatokeoChanya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi ili kulinda ustawi wa wafanyakazi na kuongeza tija ya uzalishaji.
Waziri Sangu ametoa wito huo (Januari 05, 2026) mkoani Mwanza, wakati wa ziara yake maalum ya kukagua utekelezaji wa masuala ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi katika Kiwanda cha Omega Fish Limited. Akiwa kiwandani hapo Waziri Sangu amepongeza menejimenti ya kiwanda hicho kwa kutoa ajira kwa wazawa na kuzingatia …
Soma zaidi »“TUMEACHA KUENDEKEZA WANAOLETA MIGOGORO ISIYO YA LAZIMA. TUMEWASHUGHULIKIA.” MHE. ADAM MALIMA
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, akiwa mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, wakati wa Kliniki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika mkoani Morogoro. Kupitia kliniki hii, wananchi wamepata fursa ya: Kupata ushauri wa kisheria bure Kusikilizwa na …
Soma zaidi »KAMA WEWE NI KIJANA ANGALIA VIDEO HII UNA LA KUJIFUNZA KUZITAMBUA FURSA HAPA.
Video hii inaonesha mafanikio makubwa ya sekta ya kilimo yanayopatikana kupitia uwezeshwaji wa serikali kwa vijana na wananchi kwa ujumla, chini ya juhudi za TADB katika kufungua milango ya mitaji, maarifa na masoko. 🔹 Hizi ni fursa halisi, siyo hadithi 🔹 Kilimo ni biashara, siyo adhabu 🔹 Vijana wana nafasi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+