MatokeoChanya
TUWAOMBEE REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI.
🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA | SALAMU ZA MWISHO WA MWAKA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa katika salamu za kufunga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tarehe 31 Desemba, 2025, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Soma zaidi »ONA JINSI NEMC ILIVYOMALIZA MWAKA 2025 NA WALIVYOJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI 2026
🔴#LIVE: SEMINA YA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI – DSM
MADA: WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO Mgeni Rasmi: (Mhe.Balozi.dkt. EMMANUEL NCHIMBI) Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 23 Desemba, 2025 JNICC-Ruaha Hall
Soma zaidi »WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO
“WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO” kwa kuzingatia Katiba na mustakabali wa Muungano wa Tanzania: 1. Maana ya Muungano wa Tanzania Muungano wa Tanzania ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 kwa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu unasimamiwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayotambua mambo ya Muungano …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+