Waziri Mkuu Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika tamasha la Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.
Soma zaidi »MatokeoChanya
RAIS SAMIA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA – JUNI 26, 2025
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na maelfu ya wananchi katika kusherehekea Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika leo tarehe 21 Juni, 2025. Tamasha hili limekuwa jukwaa muhimu la kuenzi urithi wa kitamaduni, sanaa, ngoma, mavazi ya asili na …

Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SUNGUSUNGU CCM KIRUMBA MWANZA
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikutana na kuzungumza na Sungusungu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, leo tarehe 20 Juni, 2025 ๐ Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana! #RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi
Soma zaidi »MHE RAIS. DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI BUTIMBA
tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …

Soma zaidi »MHE. RAIS SAMIA NA MCHANGO WAKE KWENYE SHULE ZA AMALI , AHIMIZA WANAFUNZI KUJIBIDISHA
“Hatufunzi tu kwa darasani, tunajenga kizazi cha wabunifu na wachapakazi. Tanzania mpya ni ya vijana wenye ujuzi.” โ Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Soma zaidi »Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26 Juni 2025
#WorldDrugDay #DCEA
Soma zaidi »MAJI LAMADI MWA MWA MWAAAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025 #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+