Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Massauni amesema mpaka sasa jumla ya Miradi 82 ya Biashara ya Kaboni ipo kwenye rejesta na kati ya hiyo, Miradi 4 imeshafika kwenye hatua ya utekelezaji kamili ambapo utasaidia kuiwezesha nchi kupata mapato na kuimarisha ustawi wa wananchi.
Amesema hayo Dodoma Januari 19, 2025 wakati akiwasilisha taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira akieleza Biashara ya Kaboni inaendelea kutekelezwa katika Halmashauri mbalimbali zikiwemo Halimashauri za Wilaya za Tanganyika, Kiteto, Karagwe, Uvinza na …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dennis Lazaro Londo kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
SERIKALI ITACHUKUA HATUA ZA KIMKAKATI ILI KUONGEZA FUSRA ZA BIASHARA, UWEKEZAJI NA FURSA NYINGINE
HOTUBA NZITO YA WAZIRI WA VIJANA MHE. JOEL NANAUKA KWA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA
Hotuba nzito na yenye maelekezo ya kina kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana โ Mhe. Joel Nanauka, akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Vijana kuhusu wajibu wao katika kusimamia, kuhamasisha na kutekeleza ajenda ya maendeleo ya vijana nchini. Hotuba hii inasisitiza uwajibikaji, uzalendo, ubunifu na mshikamano katika kuhakikisha vijana wanapata …
Soma zaidi »NEMC YABAINISHA USHIRIKI WAKE KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA BARANI AFRIKA (IATF) ALGERIA
DCEA YATUMIA NANENANE KUTOA ELIMU KWA JAMII NA KUHAMASISHA KILIMO CHA MAZAO MBADALA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeshiriki katika Maonesho ya Nanenane kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na kuwahamasisha kushiriki katika shughuli halali za uzalishaji mali, hususan kilimo, ufugaji na uvuvi. Kamishina Jenerali wa DCEA, Aretas …
Soma zaidi »SHEREHE ZA UFUNGAJI RASMI WA MAONESHO YA 49 SABASABA | WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ameongoza sherehe ya kufunga rasmi Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA), yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Sabasaba โ Barabara ya Kilwa. Katika hotuba yake, Waziri Mkuu amesisitiza umuhimu wa maonesho …
Soma zaidi »KOROSHO YA TANZANIA, DHAHABU NYEUPE INAYOITANGAZA NCHI KIMATAIFA.
๐ฅ Usikose kutazama mpaka mwisho ili kufahamu jinsi “dhahabu hii nyeupe” inavyobadili maisha ya Watanzania na kuiweka Tanzania katika ramani ya biashara ya kimataifa. ๐ Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu kilimo, biashara na maendeleo ya Tanzania. #KoroshoTanzania #KilimoBiashara #MadeInTanzania #UchumiWaKijani #ChanyATV
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+