MatokeoChanya

HOTUBA NZIMA YA RAIS SAMIA KWENYE MAOMBOLEZO YA JENISTA MHAGAMA | TUJALI MASLAHI YA TAIFA

Katika hotuba hii, Rais Samia amezungumzia kwa kina mchango wa marehemu kwa taifa, umuhimu wa uzalendo, mshikamano wa kitaifa, na wito kwa Watanzania wote kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi. Hotuba hii ni ya kihistoria, yenye mafunzo muhimu kwa viongozi na wananchi kwa ujumla, hasa katika kulinda amani, …

Soma zaidi »

πŸ”΄ LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MBUNGE JENISTA MHAGAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, …

Soma zaidi »

NEMC kupitia wanamichezo wake wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 mkoani Morogoro na kauli mbiu “π‘΄π’Šπ’„π’‰π’†π’›π’ π’π’Š π‘¨π’‡π’šπ’‚, π‘΄π’‚π’›π’Šπ’π’ˆπ’Šπ’“π’‚ π’π’Š π‘Όπ’‰π’‚π’Š” wameshiriki zoezi la kufanya usafi uwanja wa Jamhuri Morogoro siku ya kufunga mashindano hayo Disemba 6, 2025.

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Uzinduzi huu umefanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 20 Novemba 2025.

Soma zaidi »