MatokeoChanya

TUIDUMISHE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI – SALIM MZEE SEIFU

Salim Mzee Seifu amepongeza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza jinsi ambavyo huduma za elimu, maji na miundombinu ya barabara zimeboreshwa kwa kiwango kikubwa katika mji wa Sumbawanga. Amesema maendeleo haya yanaonesha dhamira ya kweli ya serikali katika kuinua maisha ya …

Soma zaidi »

KAMPENI YA “NO REFORMS NO ELECTION” INAMPANGO WA KUIPENDELEA TEAM – ELISHA ASA MWAMBENE

Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu. Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa …

Soma zaidi »

WANAOHAMSISHA KUSUSIA UCHAGUZI WAULIZENI FAMILIA ZAO ZIKO WAPI? OSCAR EDGAR EMBEDODO

Mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, Oscar Edgar Embedodo, ametahadharisha wananchi wa Sumbawanga na Watanzania kwa ujumla juu ya hatari ya kushawishiwa kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Amesema kuwa ushawishi huo si wa kawaida, bali ni kiashiria cha mpango wa kuvuruga amani ya nchi kwa maslahi binafsi …

Soma zaidi »

UCHAGUZI NI HAKI YA KIKATIBA, SIYO KWA MAELEKEZO YA MAKU

Mzee Shila Hailele Mponda, mkazi wa Jimbo la Tunduma, ameibua hoja nzito dhidi ya kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na kikundi cha Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Mzee Shila ameeleza kuwa tayari wanasiasa wa CHADEMA kutoka jimbo lao, akiwemo aliyekuwa Mbunge Frank Mwakajoka na mwanasiasa kijana Boniface …

Soma zaidi »

HOTUBA YA MAKONDA ILIYOWALIZA WANANCHI MPAKA MACHOZI: UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA.

Hotuba hii ya Paul Makonda imewagusa wengi kwa kina! 💔 Katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria, Makonda amezungumza kwa hisia kali kuhusu haki, uonevu, na umuhimu wa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kupata uwakilishi wa kisheria. 🎤 Katika hotuba hii, utashuhudia: ✅ …

Soma zaidi »

IFTAR YA KIHISTORIA ARUSHA: MHE. RC. MAKONDA AONGOZA JUHUDI ZA KUDUMISHA UMOJA NA UPENDO.

Katika hali ya kipekee ya mshikamano na umoja, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, ameandaa hafla ya futari (Iftar) kwa ajili ya wananchi wa Arusha, viongozi wa dini, na wazee wa mkoa huu. Iftar hii, inayotarajiwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa …

Soma zaidi »