MatokeoChanya

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini

Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya. Katika …

Soma zaidi »

Kata ya oldadai, kijiji cha oldadai,Elimu ya msaada wa kisheria ilitolewa kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuandika mirathi,kupinga ukatili wa kijinsia na njia sahihi ya kuepuka migogoro ya aridhi

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Soma zaidi »

Dawati la msaada wa kisheria lilipata nafasi ya kutembelea chuo cha maendeleo ya wananchi-Mwanva (FCD) Kilichopo mtaa wa igomelo,kata ya Malunga,halmashauri ya manispaa ya kahama

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWATAKA VETA KUTOA MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA

Ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira.   “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.”   Ametoa wito huo …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AAGIZA KUSHUGHULIKIWA KWA WATUMISHI WATAKAOKWAMISHA UTEKELEZAJI SERA YA ARDHI.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi kusimama kidete kuwashughulikia watendaji wa Wizara hiyo ambao wamekuwa kikwazo na sababu ya malalamiko mengi ya wananchi na hivyo kukwamisha dhamira njema ya kuwaletea wananchi ustawi. Akizungumza …

Soma zaidi »