Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisisitiza umuhimu wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu masuala ya uchaguzi, demokrasia, na maamuzi sahihi ya kuijenga nchi. Katika ujumbe huu wa kihistoria, Rais Samia anawakumbusha viongozi wa kisiasa, taasisi, na wananchi kwa ujumla kuwa kipindi cha uchaguzi …
Soma zaidi »MatokeoChanya
#uchaguzi2025 Maandalizi ya Amani yatazaa matunda ya Amani
Amani ni nguzo kuu katika uchaguzi mkuu wa 2025 nchini Tanzania. Bila amani, hakuna uchaguzi huru, haki, wala maendeleo ya demokrasia. Amani hutuliza jamii, huimarisha mshikamano, na kuruhusu wananchi kushiriki uchaguzi kwa utulivu, uhuru na matumaini ya kesho bora. #amaniNaUtulivu
Soma zaidi »SERIKALI YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAJI KWA WOTE. – DK. NDUMBARO AIKAGUA BIHARAMULO
Waziri Dk. Damas Ndumbaro Akagua Mradi Mkubwa wa Maji Biharamulo – Dhamira ya Serikali Kuwafikia Watanzania kwa Vitendo
Soma zaidi »WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AKAGUA KAMPASI YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MKOANI KAGERA
Katika tukio la kihistoria mkoani Kagera, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza uzinduzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatua muhimu ya kupeleka elimu ya juu karibu zaidi na wananchi wa Kanda ya Ziwa. Tukio hili limechukua sura ya kipekee baada ya wananchi …
Soma zaidi »DHAHABU YA KIJANI INAYOINGIZA MABILIONI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI
Misenyi – kitovu cha uzalishaji wa kahawa bora aina ya Robusta inayotikisa masoko ya kimataifa! Kwenye video hii, utajionea jinsi wilaya hii ya Mkoa wa Kagera ilivyogeuza kahawa kuwa chanzo kikuu cha mapato, kuingiza zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa mwaka kupitia ushuru wa mazao na biashara. 👩🏽💼 Sikiliza kauli …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço wakati akihitimisha ziara yake ya Kiserikali, Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia historia ya Kiwanda cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara yake Jijini Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025
WAZIRI MKUU ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2025 ameshiriki Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+