“KILA MTANZANIA AJITOKEZE ATUMIE FURSA YA KUJIANDIKISHA” – MHE. DKT. SAMIA

“Kama nilivyosema, la kwanza kutokujitokeza kuandikisha ni kukataa mwenyewe haki yako ya kikatiba. Na unapokataa haki ya kikatiba suala unajiuiza je, wewe ni mzalendo?, ni mzalendo wa aina gani ambae katiba imekupa fursa hii, nenda kaandikishe, piga kura, weka kiongozi anayehisi atakuja kukuhudumia wewe unaikataa. Ukiikataa wenzio watakwenda kuweka wanayemtaka na unakosa fursa ya kushawishi wengine kuweka yule mnayemtaka. Kwa hiyo unakuwa wewe wa kubabaisha tu na wa kulalamika,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

#RaisSamia #KuraYakoSautiYako #Jiandikishe2025 #DaftariLaWapigaKura #Uchaguzi2025 #HakiYaKura #SamiaSuluhu #MzalendoWaKweli #TanzaniaYaLeo #ChaguaKwaUzalendo

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *