Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe,Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo tarehe 31 Januari, 2025
MatokeoChanya
January 31, 2025
CCM, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
327 Imeonekana