Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi.
MatokeoChanya
August 31, 2025
CCM, JIJI LA DODOMA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, TUME YA UCHAGUZI
253 Imeonekana