Kauli hii ni mwendelezo wa wito wa kizalendo unaotufundisha kwamba dira ya taifa letu haijabaki kwenye karatasi pekee, bali imebeba ndoto, matumaini na matarajio ya kila Mtanzania. Ndoto ya maendeleo, ustawi wa jamii na umoja wa taifa letu.
Katika hotuba hii, Rais Samia anasisitiza mshikamano, mshikikano wa kazi na mshirikiano wa wananchi wote ili kuijenga Tanzania yenye nguvu, yenye heshima na yenye matumaini kwa vizazi vijavyo.
➡️ Jiunge nasi kusikiliza, kuhamasika na kushirikiana katika safari ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mafanikio makubwa.
#Tanzania #SamiaSuluhuHassan #Maendeleo #Uzalendo #SisiNiTanzania
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+