Katika safari ya kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na haki kwa wote, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria chini ya Waziri Dkt. Damas Ndumbaro, yazindua miradi ya maji safi na salama pamoja na kusambaza elimu ya msaada wa kisheria vijijini na mijini.
Kupitia video hii, utashuhudia namna wananchi wanavyonufaika moja kwa moja na huduma hizi muhimu—kuanzia kupatikana kwa maji karibu na makazi yao, hadi kupata elimu ya haki zao za kisheria bila gharama.
🟢 Maji kwa Maendeleo
🟢 Sheria kwa Haki na Usawa
🟢 Wananchi Kwanza!
#MsaadaWaKisheria #SamiaSuluhu #DamasNdumbaro #SerikaliYaKazi #MaendeleoKwaWote #HakiKwaWote #MatokeoChanyA+
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+