Rais Dkt. Samia Suluhu akisafiri kwa Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma, ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji taarifa zake katika Daftari la kudumu la mpiga kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijijini cha Chamwino, Dodoma

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *