Recent Posts

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KISIWANI PEMBA

Rais Mstaafu Awamu ya Nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya Sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, ambapo amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya …

Soma zaidi »

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga zaidi ya shilingi bilioni 250 katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya kutolea huduma za afya ya msingi katika Halmashauri zote 184 nchini

Taarifa hii imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange, wakati akijibu swali la Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya, Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki. Dkt. Chaya alitaka kufahamu mpango wa Serikali wa kupeleka jokofu la kuhifadhia maiti katika Kituo cha …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma

Akizungumza na waumini mara baada ya Misa hiyo, Makamu wa Rais ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali kuwatakia watanzania wote heri na baraka kwa mwaka mpya 2025. Makamu wa Rais ametoa wito kwa viongozi wa dini, …

Soma zaidi »

Mwaka huu tumeshuhudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliokwenda kwa amani na utulivu. Kwa mara ya kwanza, wagombea wasiokuwa na wapinzani walihitajika kuthibitishwa na wananchi kwa kupigiwa kura ya “Ndio” au “Hapana.” Hatua hii imefuta rasmi utaratibu wa kupita bila kupingwa, na ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia nchini

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano

Soma zaidi »